Mashabiki wa Barcelona washerehekea Ubingwa

Basi la wachezaji wa Barcelona likipita katikati ya mashabiki mitaa ya Barcelona jana baada ya ushindi wa taji la 25 la La Liga kufuatia kuichapa mabao 4-2 Deportivo La Coruna juzi na kujibebea taji la pili Hispania msimu huu kufuatia awali kunyakua Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey.

Leave a comment