Fahamu madhara unayoweza kupata kwa kutumia smartphone Gizani

Image result for kutumia smartphone gizaniImage result for effect of using smartphone at night

Tafiti zinaonyesha kuwa iwapo mtu atatumia simu janja (smartphone) akiwa gizani (taa ikiwa imezimwa) na akiwa amejilaza kitandani anaweza kupofuka macho.

Imeonekana kuwa utumiaji wa simu janja gizani kwa mfano iwapo taa ikiwa imezimwa na umejilaza kitandani utaweza kupata upofu wa muda (kupoteza uwezo wa kuona kwa hadi dakika 15) na kama utaendeleza sana tabia ya utumiaji huo na usipopata matibabu sahihi unaweza tatizo hilo linaweza likawa ni la kudumu.

Wagonjwa wawili walipatwa na tatizo hilo na baada ya kufanyiwa vipimo vyote ikiwemo kipimo cha moyo na MRI hawakupatikana na tatizo lolote. Walipelekwa kwa mtaalamu wa macho na kuulizwa nini walikuwa wakifanya wakati tatizo hilo likiwatokea na kusema walikuwa wakitumia simu gizani wakiwa wamejilaza kitandani.

Epuka kutumia simu gizani kwa na ukiwa unatumia jicho moja kuangalia

Ugonjwa huo kitaalamu unajulikana kama “Transient smartphone blindness” ambapo wagonjwa ni watu walikuwa wakitumia simu zao wakiwa wamejilaza kwenye mto jicho moja liikiwa limefunikwa na mto na kutumia jicho moja kuangalia wakati wakitumia simu gizani.

Kwa sasa, idadi ya wagonjwa kuanzia miaka 30-40 wanatafuta matibabu makubwa. kutokana na matumizi ya simu za mkononi (smart phone) gizani.
Profesa Li Li, kiongozi wa hospitali ya macho huko singapore amesema: anasema mionzi ya moja kwa moja kwa zaidi ya dk 30 na kuendelea inaweza kusababisha mpangilio na mbadiliko wa seli macho na hivyo kusababisha saratani na kushindwa kuona kabisa.
Kupata saratani ya macho inamaanisha unasubiri kupoteza kuona kwa sababu utaalamu wa afya kwa sasa hautibu saratani hivyo ni bora kuacha kutumia simu za mikononi gizani mara kwa mara ili kujikinga.

Image result for kutumia smartphone gizani
Simu za mikononi(smartphone) zenye mwanga mweupe sana karibu na macho gizani, unabadili mfumo wa seli macho na kupelekea matatizo ya saratani ya macho.
Proffessor Li Li amesema dalili za mbadiliko wa seli macho mara nyingi wanazigundua watu wenye umri mkubwa (wazee), ila kwa hivi sasa zinagunduliwa hata na kwa vijana wadogo. Hasa kwa wenye umri wa kuanzia miaka 30-40 wanaongezeka kwa asilimia 3% na wote hawa ni watumiaji wa simu za mikononi (smartphone) kupitiliza.
Hata hivyo, kutumia simu (smartphone) gizani sio sababu ya tatizo la kupelekea saratani ya macho. Na pia kidogo inaweza sababishwa na ugonjwa wa macho makavu, mtoto wa jicho na mwisho kupelekea kupoteza kuona.
Dalili za mwanzo kama vile vipele vidogo vidogo huwa zinatibiwa kwa mionzi, sindano na madawa.

USITUMIE SIMU KWENYE GIZA.jpg
Madaktari bingwa wa macho 254 kutoka mahosipitalini profesa Li Li atoa hoja kwamba kikubwa cha muhimu ni kwamba ni kuwa mbali na tabia za kutumia simu gizani. Sababu tabia hizi za kutumia simu (smartphone) kabla ya kulala zitakusababishia matatizo ya maisha yako kwa ujumla.

 

Leave a comment