Alikiba afunga ndoa mjini Mombasa

NI FURAHA ILIYOJE! STAA wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, amefunga ndoa na mchumba wake Amina Khalef, leo asubuhi, Aprili 19, mjini Mombasa nchini Kenya.

Hakika ni furaha, shangwe, nderemo na vifijo kwa maharusi, wanafamilia na mashabiki wa Kiba mara baada ya ndoa hiyo kufungwa katika msikiti wa Ummul Kulthum, mjini Mombasa.

Katika shughuli hiyo ya kihistoria kwa msanii huyo, Kiba ameandamana na mdogo wake, Abdul Kiba na na rafiki yake

Leave a comment