UREMBO: Picha 20+ Tazama Mitindo na Rangi Bora za kucha

Umuhimu wa kucha kwa mwanamke ni mkubwa sana huwezi kuwa mrembo ukavaa mavazi mazuri na ukashindwa kupamba na kuzifanya kucha zako kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia,

Rangi za kucha zimekuwa ni nakshi bora kwa muonekano bora wa vidole vya mwanamke. Wanawake siku hizi kupaka rangi kucha imekuwa ni moja ya njia wanayofurahia kuonesha urembo wao.

Si kupaka rangi tu inakupaswa ujue jinsi ya kutunza kucha zako ili zivutie muda wote.

Nimekusogezea baadhi ya rangi nzuri na zinazopendeza kwa sasa kulingana na stairi na  aina ya kucha zako

Image result for rangi za kuchaRelated imagenail10.jpgnail9.jpgnail12.jpgnail8.jpgnail3.jpgnail2.jpgImage result for rangi za kuchaImage result for rangi za kuchaimageImage result for rangi za kuchaImage result for rangi za kuchaImage resultImage result for red nail colours 2018Image result for beautiful nail colours nigeriaImage result for beautiful nail coloursImage result for flower nail colourImage result for nail colors for black womenImage result for gold nail colourImage result for nail colors for black womenImage result for nail colors for black womenImage result for nail colors for black women

2 comments

Leave a comment